Tuesday, November 16, 2010

BREAKING NEWS! Waziri Mkuu wa Tanzania ni Mizengo Pinda




Jina la Waziri Mkuu limeshatangazwa Bungeni na Spika wa Bunge Anna Makinda kuwa ni Mizengo Kayanza Peter Pinda kinachofanyika kwa sasa ni kupiga kura za kumpitisha.

Baada ya zoezi hilo la kumpitisha kitakachofuata ni kujua nani atakuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania