Saturday, November 20, 2010

Papa akubali matumizi ya kondomu


Papa Benedict XVI amesema matumizi ya kondomu yanakubalika katika mazingira fulani.
Katika kitabu chake, Papa Benedict amesema kondomu inaweza kupunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI mfano ni kwa wanawake wanaofanya biashara ya mapenzi kama alivyohojiwa na mwandishi wa habari wa ujerumani.

Maoni yake sasa yanadhoofisha msimamo wa kanisa Katoliki ambalo mpaka sasa lilikuwa limepiga marufuku matumizi yoyote ya njia za uzazi wa mpango.

Alipoulizwa kuhusu msimamo wa kanisa katoliki kuhusu kondom Papa alisema kwenye Kitabu hicho kiitwacho Light of the World: The Pope, the Church and the Signs of the Times kwamba: "kwa kweli sioni kama hilo ni suluhisho la maadili".

"Katika mazingira fulani mahali kuna nia ya kupunguza maambukizi inaweza kuwa njia ya kwanza kuliko kufanya mapenzi bila kondomu," alisema.

Kitabu hicho kwa mujibu wa vyanzo vya habari kinatarajiwa kuchapishwa siku ya Jumanne.

2 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans