Saturday, November 20, 2010

Viongozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wanaposimama pamoja


Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.