Saturday, July 23, 2011

Pigo wanahabari Tanzania, Danny Mwakiteleko amefariki dunia!


Marehemu Danny Mwakiteleko

Mwandishi wa Habari wa siku nyingi na Naibu Mhariri Mtendaji  wa Kampuni ya New Habari inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jumamosi katika hosptali ya Rufaa ya Muhimbili.
Marehemu alipelekwa hosptalini hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali mbaya ya gari ambapo inasemakana aliumia vibaya sehemu ya kichwani.
Danny Mwakiteleko atakumbukwa kwa umahiri wake katika fani ya uandishi wa habari na kuondoka kwake ni pigo kubwa katika tasnia nzima ya  habari hapa Tanzania. Bwana ametoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana libarikiwe Amen.

<iframe height="295" src="http://www.youtube.com/embed/aWd3zFzQoTI?fs=1" frameborder="0" width="480" allowfullscreen=""></iframe>

Marehemu Danny Mwakiteleko ( wa kwanza kulia ) enzi ya uhai wake akiwa na baadhi ya wahariri wenzake katika mkutano uliofanya maamuzi mazito kwenye tasnia ya habari hapa Tanzania huko Arusha mapema mwezi huu.

2 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes