Sunday, October 21, 2012

Ugomvi wote UWT kumbe ni Ubunge wa bwerereee


Shyrose Bhanji akizozana na wapambe wa Sophia Simba

 Kinyang'anyiro cha Uenyekiti UWT hapo jana ulisababisha vigogo na heshma zao kutaka kutoana manundu kumbe sababu kubwa imebainika kuwa ni kutaka kupata Ubunge kwa mteremko, kwani kwa mujibu wa utaratibu ndani ya CCM Mwenyekiti wa UWT Taifa yeye moja kwa moja huingia bungeni kupitia nafasi za wabunge wa viti maalum.

Sophia Simba akimwangalia kwa makini Shyrose Bhanji kidogo asimame amtembezee mikono (Picha zote kwa hisani ya Tanzanite Glamour blogspot)
Utaratibu huo umeifanya nafasi hiyo ya Uenyekiti wa UWT iwe lulu kama sio dhahabu jambo lilisababisha jana kidogo ngumi zitembee katika ukumbi wa uchaguzi.

Inaarifiwa kuwa kidogo Shyrose Bhanji azikunje na wapambe wa Sophia Simba sababu kubwa ni kwamba keki ilikuwa inaonekana wazi imeshapokonywa.

Kwa maana hiyo Sofia Simba ambaye amechaguliwa jana kuwa Mwenyekiti wa UWT hana wasi wasi kwani baada ya uchaguzi mkuu ujao yeye tayari ni Mbunge wa viti maalum na kwa maana hiyo sasa unaweza kumwita Mbunge Mteule.

Katika Bunge lililopita  Sophia Simba kwa vile alikuwa ni Mwenyekiti wa UWT basi aliingia moja kwa moja bungeni kwa mujibu wa cheo chake.

2 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes