Wednesday, November 28, 2012

Ni majonzi na Vilio Mazishi ya Sharobaro Picha za Mazishi hizi hapa

Marehemu  Hussein Ramadhan Mkiety maarufuf Sharobaro Billionea

Masheikh wakiuswalia mwili wa Marehemu Sharobaro

Waombolezaji wakibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Sharobaro

Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la alimwozikwa Marehemu Hussein Ramadhan Mkiety Maarufu Sharobaro

Msanii mwenzake na Marehemu Athuman Amri maarufu King Majuto akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu wakati wa Mazishi