Wednesday, March 6, 2013

Hugo Chavez wa Venezuela amefariki dunia

Rais wa Venezuela Hugo Chavez amefariki akiwa na umri wa miaka 58 Chavez alikuwa alisumbuliwa na saratani lakini baadae maafisa hapo jana walisema alipatwa pumu ambapo alilazwa katika chumba cha wagonjwa hadi alipofariki

No comments: