Friday, May 10, 2013

Ni Majonzi na vilio mazishi ya waliouawa na bomu kanisani Arusha

Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha Josephat Lebulu akinyunyiza maji ya baraka katika majeneza ya marehemu wa mlipuko wa bomu
Mapadri wa kanisa Katoliki wakibeba moja ya majeneza ya waliuawa katika mlipuko wa bomu
Mwadhama Policarp Kadinali Pengo akiendesha ibada ya mazishi 

jeneza la mtoto ambaye ni mmoja wa waliuawa katika mlipuko huo wa bomu

Mapadri wakibeba misalaba ya marehemu waliokufa katika mlipuko wa bomu

Jeneza la mmoja wa waliouawa katika mlipuko wa bomu likibebwa na mapadri