Vvurugu kubwa zimeibuka katika uchaguzi wa
kuwania nafasi ya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu Taifa wa CCM uliofanyika jana
katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam baada ya wapambe wa
wagombea wawili kuchapana makonde hadharani.
Uchaguzi huo uliokuwa ukitafuta wawakilishi wa nafasi mbalimbali za Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam na kusimamiwa na Mbunge wa Ilala, Musa Zungu, ulilazimika kurudiwa baada ya wagombea wawili kupata alama sawa.
Kabla ya kurudi katika ukumbi wa uchaguzi majira ya saa 9:10, vurugu zilianza kujitokeza ambapo wapambe wa mgombea Salim Salim ‘Chicago’ walikuwa wakihaha kuhakikisha anaibuka kidedea.
Hata hivyo mpambe wa mgombea mwingine, Nicolaus Msemo, alikuwa makini na kumfuata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Idd Toatoa na kuanza kupigana naye kabla ya kuamuliwa na wanachama waliokuwa karibu yao.
Nafasi ya uwakilishi wa Baraza Kuu mkutano mkuu Taifa kupitia Jumuiya ya Wazazi mkoa huo ilikuwa ikiwaniwa na wagombea wanne ambao ni Salim Chicago, Msemo, Mohmed Honelo na Tambwe Hizza.
Honelo na Tambwe walienguliwa mapema kutokana na kura zao kuwa chache huku wagombea hao wawili wakirudi katika uchaguzi.
Aidha, nafasi ya uenyekiti Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam ikichukuliwa na Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kiziga aliyeibuka kidedea kwa kura 170.
Naye Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) CCM mkoani Dar es Salaam, Zarina Madabida, aliyekuwa akitetea kiti chake, ameanguka na nafasi yake kuchukuliwa na Janeth Masaburi, Mke wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi.
Wakati Mama Madabida akianguka, vurugu kubwa zimeibuka katika uchaguzi mwingine wa CCM uliofanyika jana katika viwanja vya Karimjee baada ya wapambe wa wagombea wawili wanaowania nafasi ya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu Taifa kuchapana makonde hadharani.
Zarina ambaye anakuwa mwenyekiti mpya wa umoja huo mkoani Dar es Salaam, aliibuka na ushindi wa kura 168 dhidi ya 140 za Mama Madabida, huku Irine Makinda akiambulia kura tatu tu.
Uchaguzi huo uliotawaliwa na vituko, vijembe na kejeli za aina yake kutoka kwa wafuasi wa pande hizo mbili, ulifanyika jana katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Awali kabla ya matokeo hayo kutangazwa baadhi ya wajumbe waliangua vilio kupinga ushindi wa Mama Masaburi, huku waliounga mkono hata kabla ya msimamizi wa uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick kutangaza matokeo, walikuwa wakiimba na kucheza kushangilia ushindi.
Shangwe, nderemo na nyimbo za taarab zilianza kusikika hata kabla na baada ya mshindi kutangazwa huku wajumbe wengine wakirusha maneno na kudai kuwa salamu zimfikie Sophia Simba ambaye ni Mwenyekiti wa UWT Taifa anayetetea kiti chake.
Hata hivyo baada ya kutangazwa mshindi baadhi ya wajumbe wa uchaguzi huo walipiga vijembe na kudai kuwa watu wanaotaka kuiongoza CCM kama chama chao ujumbe uwafikie kwani wajumbe wa sasa sio wa zamani.
“Habari ndio hiyo na iwe chachu ya mabadiliko kwa CCM na wakae wakijua kuwa CCM ya zamani sio ya sasa, walifanya chama kama chao sasa ni mabadiliko tu,” ilisikika sauti ya mmoja wa wajumbe wa uchaguzi huo.
Naye Katibu wa UWT tawi la Kimara, Royita Phares, alisema kilichosababisha anguko la Mama Madabida ni hatua yake ya kuingilia uchaguzi wa wilaya.
Naye, Mama Madabida alisema kama wanachama wakizungumza kupitia kura zao, mambo yanakuwa yameisha na kinachofuata ni kujenga jumuiya imara na kutoruhusu kukatika vipande.
Mwenyekiti mpya mama Masaburi aliwataka wanachama wa umoja huo kuvunja makundi kwani muda wa majungu umeshaisha.
Katika nafasi zingine zilizogombewa ni vijana iliyochukuliwa na Hawa Chakoma, Wazazi Mkoa ikienda kwa Amina Mlewa, Baraza Kuu la UWT Taifa ikienda kwa Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki, nafasi ya mkutano mkuu wa CCM Taifa ikienda kwa Dorothy Kilave

3 comments:
chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online
ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes
pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans
Post a Comment