Wanaume
wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa
mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi
kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa
pamoja kwa kipindi chote cha maisha.
Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri.
Hali
sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na
sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa.
Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna
sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo
ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa
kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu
kumtakiwa kwamba anataka kumuoa.
2 comments:
www0908
canada goose outlet
golden goose
red bottom shoes
canada goose outlet
ugg boots clearance
manolo blahnik
kate spade outlet
coach outlet online
true religion jeans outlet
moncler outlet
replica bags from turkey replica bags from korea replica bags wholesale in divisoria
Post a Comment