Wasema enzi uongozi wake haya hayakuwepo
Watanzania leo wanakumbuka kifo cha baba yao wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere wakati nchi ya Tanzania leo ikishuhudia vurugu za kidini ikiwemo kuchomwa kwa baadhi ya makanisa huko Zanzibar kutokana na kile kichodaiwa harakati za kukerwa na Muungano na tukio la Mbagala ambapo makanisa yamechomwa baada ya mtoto mwenye miaka 12 kukojolea quran.
"Nyerere alikemea kwa nguvu zote ubaguzi , udini pamoja na ukabila na kuwafanya Watanzania wote wajihisi kuwa ni ndugu moja. Hata hivyo kinachosikitisha ni misingi hiyo aliyoiacha kuanza sasa kubomoka taratibu hadi leo tunashuhudia haya yaliyotokea Zanzibara na Mbagala".Anasema mwandishi mmoja maarufu.
Amewataka viongozi waliopo madarakani kurejea tena misingi hiyo ambayo iliijenga taifa kwani katika uongozi wa Mwalimu matukio kama haya hayakuwepo hata kidogo maana alikuwa ni mkali kwa yoyote anaendekeza udini , ukabila au rangi.
"Labda viongozi wetu wamesahau misingi hiyo, kama ni kumuuenzi baba wa Taifa leo basi ni vyema viongozi wetu wakawa wakali na watu wanaoendekeza udini. Inawezekana kunyamaza kimya ndio sababu ya kutufikisha hapa tulipo. Kama viongozi wetu wangekuwa wakali tangu baada ya kusikia yaliyotokea huko Zanzibar kwa watu hao wanaolibomoa taifa labda leo tungezungumza mengine". Anafafanua.
Hayati Julias Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Tanzania enzi za uhai wake |

1 comment:
pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans
Post a Comment