Kwa ushindi huo sasa Tanzania inashika nafasi ya pili katika kundi C ikiwa na pointi 6 baada ya kucheza mechi mechi tatu ambapo mechi ya kwanza iliyochezwa Juni 10 mwaka jana Tanzania iliifunga Gambia 2 -1 jijini Dar es Salaam na baadae ilifungwa magoli 2 - 0 na Ivory Coast ugenini.
Katika mechi nyingine ya C iliyochezwa hapo jana Ivory Coast imechabanga Gambia 3 -1 mjini Abidjan.na kuifanya Ivory iongoze kundi C ikiwa na point 7 huku Tanzania ikishika nafasi ya pili na pointi 6.
Tanzania itarudiana na Morroco June 7 mwaka huu nchini Morocco na baada ya wiki moja itamenyana Ivory Coast jijini Dar es Salaam June 14 mwaka huu.
Mechi ya Mwisho ambayo itaamua kama Tanzania itakwenda Brazil kusakata kambu kumbu katika fainali ya kombe la dunia itafanyika nchini Gambia Septemba 9 mwaka huu. Msimamo kamili wa Kundi C hadi jana huu hapa chini.
Group C
| |||||||
Team
|
MP
|
W
|
D
|
L
|
GF
|
GA
|
Pts
|
3
|
2
|
1
|
0
|
4
|
5
|
7
| |
3
|
2
|
0
|
1
|
5
|
4
|
6
| |
3
|
0
|
2
|
1
|
4
|
6
|
2
| |
3
|
0
|
1
|
2
|
2
|
6
|
1
|
Score boad ikionyesha Tanzania imeifunga timu ngumu ya Morocco mabao 3 - 1. Je Tanzania imeanza safari ya kuelekea Brazil kwenye fainali ya kombe la dunia |
No comments:
Post a Comment