![]() |
| Obama alipokuwa mtoto |
![]() |
| Obama akiwa na baba yake Hussein Obama raia wa Kenya |
![]() |
| Obama akiwa na bibi yake kenya alipokwenda kumtembelea |
![]() |
| Siku hiyo wanafamilia wote walifurahi kumwona alipomtembelea bibi yake Kenya |
![]() |
| mmoja wa wanafamilia akimpa company |
![]() |
| Obama akimsaidia bibi yake kubeba mzigo wakati alipomtembelea |
![]() |
| Obama akiwa na bibi na babu waliomlea baada ya mama yake kufariki dunia |
![]() |
| Obama akiwa na mama yake ambaye ni marehemu |
![]() |
| Obama akiwa na mama yake na baba yake wa kambo |
![]() |
| Obama katika picha na wanafamilia upande wa baba yake raia wa Kenya |











No comments:
Post a Comment