Wednesday, September 4, 2013

Picha zaidi Mazishi ya Askofu Kulola leo, Kikwete aongoza maelfu

Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Marehemu Askofu Dk.Moses Kulola
Rais Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Askofu Dk. Moses Kulola


Mch Peter Msigwa Mbunge wa Iringa mjini


Mwalimu Christopher Mwakasege naye alikuwepo





Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Kulola

No comments: