Tuesday, November 23, 2010

Kilimanjaro Stars yailamba Harembee Stars


Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imeinyuka bila huruma timu ya taifa ya Kenya goli moja bila katika mchezo wa kimataifa wa Kirafiki uliochezwa nchini Tanzania katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Goli hilo limefungwa na mshambuliaji aliteliwa hivi karibuni kutoka klabu ya Yanga Gaudence Mwaikimba (pichani aliyevaa fulaya ya blue na bukta nyeusi.)

No comments: