Saturday, October 13, 2012

BREAKING NEWS: RPC Mwanza yadaiwa kuuawa na majambazi

Photo: Kamanda Barrow.


Kuna taarifa ambazo bado hajizathibitwa na vyanzo vya uhakika kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barrow ameuwa na majambazi.

Tunaendelea kufuatilia taarifa hizi na tutawaletea kwa kadri tutakavyoendelea kuzipata