Monday, December 10, 2012

Ray C huyooo!!! aibukia Ikulu ya Kikwete , Mzima wa afya

Rehema Chalamila Ray C na Rais Jakaya Kikwete Ray C alifika Ikulu pamoja mama yake kumshukuru Rais kwa msaada wa matibabu
Rais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Ray C na ndugu zake akiwemo mama yake ya Mzazi
Ray C enzi hizo


Ray C akiwa kweli Ray C

Ray C na mapozi enzi hizo