Sunday, August 11, 2013

Ponda kweli kajeruhiwa kwa risasi? yupo hoi Muhimbili


.


Sasa hakuna ubishi kwamba Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislam Sheikh Ponda issa Ponda kweli amepigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega japo hadi sasa Polisi inakana kuwa haihusiki na haina uhakika kwamba kilichomjeruhi ni risasi au ni  kitu kingine. Kwa sasa Sheikh Ponda anapatiwa matibabu katika hosptali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa tangu jumapili.