Saturday, November 20, 2010

Rais Kikwete anaposakata rhumba na rafikiye Mrema


Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akisakata rhumba na mwanasiasa mkongwe Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro Agustino Mrema wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge tarehe Novemba 18, 2010.

No comments: