Tuesday, November 16, 2010

Wasifu wa Mizengo Pinda


Mizengo Kayanza Peter Pinda alizaliwa Agosti 12, 1948 mkoani Rukwa magharibi mwa Tanzania.Alipata elimu ya Msingi katika shule ya Msingi ya Kakuni Primary School na Kaengesa Seminary kati ya mwaka 1957 na 1964 na baadae alijiunga na Shule ya Sekondari ya Pugu kati mwaka 1965 na 1968. Aliendelea na kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari ya Musoma kati ya mwaka 1969 na 1970.
mwaka 1971 alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo alitunukiwa shahada ya sheria mwaka 1974.
Kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu Mheshimiwa Pinda aliwahi kushika nyazifa mbali mbali serikalini ikiwa ni pamoja na kuwa karani wa Baraza la Mawaziri tangu mwaka 1995 hadi 2000 kabla ya kuwa mbunge wa Mpanda Rukwa mwaka huo huo wa 2000.
Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa na baadae kuwa waziri kamili wa wizara hiyo januari mwaka 2006 kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu mwezi Februari mwaka 2008 baada ya kujiuzulu kwa Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu.
Leo Novemba 16, 2010 kwa mara nyingine Rais Jakaya Kikwete amemteua tena kuwa wa Waziri Mkuu wa Tanzania.

2 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans