Friday, July 1, 2011

Simba , Etincelles leo hapatoshi Kagame

Kagame Cup Live leo 01 - Julai - 2011

Simba ya Tanzania leo inaingia uwanjani kumenyanyana na Etincelles ya Rwanda katika mchezo muhimu kwa simba kama inataka kuendelea hatua ya robo fainali ikifungwa mechi ya leo itakuwa imejiweka katika mazingira magumu ya kusonga mbele.

Hadi sasa Simba ina pointi 4 na imefunga goli moja tu.

BOFYA HAPA KUFUATILIA MATOKEO LIVE YA MECHI ZA LEO

No comments: