Sunday, July 3, 2011

Wanyamapori wawa kivutio Maonyesho ya Sabasaba


Aina mbali mbali za wanyama pori waliopo katika Maonyesho ya Saba saba


Pundamlia akiwa amejipumzisha katika bustani ya wanyama viwanja vya sabasabaTumbili wakichezacheza kwenye banda lao


Pofu akipozi katika bustani ya wanyama viwanja vya Sabasaba


Chui naye alikuwepo hapa anavinjari katika banda lake