Sunday, July 3, 2011

Rais Dk. Alli Mohamed Shein wa Zanzibar anapovuna mpunga !

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Alli Mohamed Shein akishiriki kuvuna mpunga katika shamba la kilimo la mbegu huko Bambi mkoa wa Kusini Ungunga

No comments: