Monday, January 9, 2012

Kijiji cha Wahanga Mafuriko ya Dar hiki Hapa

Msururu wa mahema Mabwepande Kinondoni

Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT wakijenga mahema kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Mabwepande

Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu wakijenga choo

Miundo mbinu ya barabara japo ya vumbi kijiji kipya cha Mabwepande

No comments: