Saturday, January 21, 2012

Kikwete aongoza kumwaga Marehemu Sumari

Kuzikwa Jumatatu Akheri Arumeru Arusha

Rais Kikwete akisimama wakati mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki Marehemu Jeremiah Sumari ulipokuwa kiingia katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam, Tanzania
Mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari ukibebwa kuingia katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwa mazishi Arumeru, Arusha Tanzania
Rais Jakaya Kikwete (wa pili kutoka kushoto,) Spika Anne Makinda (kushoto), Jaji Mkuu Othuman Chande (wa pili kutoka kulia ) na Freeman Mbowe (kulia) wakisikiliza kwa makini salamu za rambi rambi

Rais Kikwete akiwasalimia ndungu wa Marehemu Jeremiah Sumari
Rais Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari

No comments: