Wednesday, February 1, 2012

Shoka lanasa kichwani, apigwa na majambazi

Mmoja ya wagonjwa ambaye ameletwa katika hosptali ya Taifa ya Muhimbili akiwa na shoka lililonasa kichwani baada ya kupigwa na majambazi akiwa katika lindo usiku. Majambazi yalivamia katika nyumba aliyokuwa akilinda na kumpiga kwa shoka kichwani na kisha kupora baadhi ya mali ya mwajiri wake.

No comments: