Tuesday, May 29, 2012

Simba kama Chelsea na Man City

Wachezaji wa Simba katika gari maalum wakipita katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam kusherehekea Ubingwa wa Tanzania bara. Hivi ndivyo walivyofanya Man City alipanyakua ubingwa wa England na Chelsea iliponyakua ubingwa wa Klabu Bingwa Ulaya
Mashabiki na wapenzi wa Simba wakishangalia ubingwa nyuma yao gari maalum lililowabeba wachezaji wa Simba na Kombe lao la Ubingwa wa Tanzania bara
Naibu wa Waziri Habari Utamaduni na Michezo Amos Makala akiwa pamoja na wachezaji na viongozi wa Simba
Mashabiki na wapenzi wa Simba

No comments: