Monday, September 24, 2012

Liverpool hoi, Man City na Arsenal wakomaliana


Beki wa Man City na Nahodha Vicent Kompany  katika harakati za kuokoa Mpira mbele ya Per Mertesaker wa ArsenalSir Alex Ferguson Kocha wa Man U alikuwa na kibarua kizito
Martin Skrtel wa Liverpool wakionyeshana kazi na Robin Van Persie wa Man U

Jeleon Lescott wa Man City akifurahi na wenzake baada ya kufunga bao dhidi ya Arsenal

No comments: