Wednesday, October 17, 2012

Obama amgaragaza Romney kwenye mdahalo

Barak Obama (kushoto) na Mitt Romney (kulia)
Rais  wa Marekani Barak Obama ambaye ni mgombea wa Democratic amefanya vizuri safari katika mdahalo baada ya kufanya vibaya katika mdahalo wa kwanza.

Angali mwenye hapa chini Mdahalo mzima

 

No comments: