Wednesday, October 17, 2012

Obama amgaragaza Romney kwenye mdahalo

Rais wa marekani Barak Obama amefanya vizuri katika mdahaho wa usiku wa kuamkia leo tofauti na ule awali.

Kwa mujibu wa kura za maoni  ya vyombo vya habari vya Marekani Obama anaongeoza katika kwa asilimia 3 katika mdahalo huo.

No comments: