Monday, October 22, 2012

Sheikh Farid afikishwa mahakamani chini ulinzi mkali: Picha zaidi

Sheikh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari kuelekea mahakamani

FFU kwa gari tayari kwa lolote
Kikosi cha mbwa FFU nao walikuwa makini

Mashine nzito  nzito


FFU walipokuwa wakiwaleta watuhumiwa (Picha zote kwa hisani ya Blog ya Michuzi)