Tuesday, November 13, 2012

BREAKING NEW!!!!!! Mangula, Shein wazoa kura zote , Kikwete apata Hapana 2

Jakaya Kikwete Mwenyekiti wa CCM  amepata kura za ndio 2395 hapana kura 2
Philip Mangula Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Bara amepata kura 2397 za ndio Hapana kura 0
Dr Mohamed Shein Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Zanzibar amepata kura 2397 Hapana kura 0

No comments: