Friday, November 2, 2012

Wingu zito Dar: Hofu ya maandamano ya Waislamu




Mmoja Askari Polisi Mahakamani Kisutu jana hivi ndivyo walivyojipanga kwa lolote leo
 Hali bado ni ya wasiwasi jijini Dar es Salaam na maeneo mengine kufuatia hofu kwamba huenda Waislamu leo wakafanya maandamano na kufanya mji kuchafuka baada ya polisi kutangaza kuyazuia maandamano hayo.

Kundi moja la Waislamu lilitangaza kufanya maandamano hayo leo, hivyo wengi wanasubiri kwa tahadhari baada ya swala ya Ijumaa  kama kuna lolote linaweza kutokea

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litamchukulia hatua kati yoyote atakayeandamana leo kufuatia baadhi ya Waislamu kutangaza kuwa leo watafanya maandamano makubwa.

Waislamu hao wanashinikiza Katibu wa Taasis za Kiislamu Sheikh Issa Ponda ambaye ana kesi mahakamani kuachiliwa kwa dhamana.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleimani Kova amesema maandamano hayo yamepigwa marufuku na kwamba Polisi na vikosi vingine vya usalama vimejiandaa kukabiliana na yeyote atakayejaribu kufanya maandamano hayo

Jana katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mji Dar es Salaam Askari wa Jeshi la Polisi waliweka ulinzi mkali wakati Sheikh Ponda alipopelekwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili ambapo pia mahakama imemnyima dhamana kwa sababu zinazoelezwa na kuwa ni maslahi ya taifa na usalama wa nchi.

Polisi wa Kikosi cha Mbwa tayari kwa lolote leo
Sheikh Issa Ponda

7 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans

yanmaneee said...

pandora charms
pandora
nike lebron 16
jordan 6
off white
air jordan
jordan shoes
100% real jordans for cheap
longchamp
yeezy

smetoez said...

Continued replica gucci this hyperlink replica gucci bags find out this here good quality replica bags

Unknown said...

replica bags canada look what i found g3b94f8b91 replica bags uk navigate here q3i80d1d18 replica louis vuitton bags 7a replica bags wholesale replica bags from china hermes replica p9a12h0b47 zeal replica bags

Unknown said...

e4d12q0r96 q3a77i0a91 i6i19p7m89 r0i44e7f74 d8d74f5p00 h9r91s1u82