Saturday, December 1, 2012

Picha zaidi za Ibada ya kuaga mwili wa Mtangazaji wa BBC Marehemu Fred Mtoi London

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Fred Mtoi
Gari lenye mwili wa Marehemu likisindikizwa kwa staili ya aina yake tayari kuelekea Tanzania kwa mazishi
Bofya hapa uangalie Picha za tukio zima

2 comments:

Jackson Mrombo said...

Poleni bbc,MUNGU awatie nguvu

Jackson Mrombo said...

Poleni BBC,MUNGU awape nguvu.