Friday, January 4, 2013

Safari ya Mwisho ya Msanii Sajuki, Kikwete ahudhuria

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenya kaburi la Marehemu Said Juma katika mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu
Mwili wa Marehemu ukipelekwa
Mwili wa Marehemu ukipelekwa kuzikwa


Maombelezaji wakimswalia Marehemu kabla ya mazishi yake


No comments: