Wednesday, February 6, 2013

Sasa Fainali ni Nigeria na Burkina Faso Kombe la Mataifa ya Afrika


Nigeria na Mali wakipambana hapo jana

Timu za Nigeria na Burkina Faso jana zilifanikiwa kuingia hatua ya fainali baada ya kushinda mechi za nusu fainali. Nigeria iliondoa Mali kwa jumla ya magoli 4-1 na Burkina Faso kufunga Ghana kwa mikwaju ya penati 3-2 baada ya muda wa kawaida na ule wa nyongeza kutopata kutopata mshindi.

No comments: