Wednesday, February 13, 2013

Picha zaidi vurugu za Waislamu na Wakristo Geita

Polisi wa kutuliza Ghasia FFU wakiwadhibiti baadhi ya waumini waislamu waliokuwa wakifanya fujo siku ya tukio


Majeruhi wa vurugu hizo mzee wa makamo akiwa hosptalini


Kijana huyo naye alijeruhiwa kichani wakati wa vurugu

Mmoja wa majeruhi wa vurugu hizo