Wednesday, March 6, 2013

Rais wa Kenya kujulikana leo: Uhuru,Raila hapatoshi

Wakati Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), ikiwataka wananchi wa Kenya kuwa na subira wakati ikiendelea kukusanya na kuhesabu kura, mgombea wa Jubilee, Uhuru Kenyata anaendelea kuongoza kwa kura dhidi ya mgombea wa Muungano wa Cord, Raila Odinga. Tangu kura zianze kuhesabiwa juzi jioni, Kenyatta amekuwa akiongoza wagombea wengine wa urais katika uchaguzi huo. Tamko la Mwenyekiti wa IEBC, Isaack Hassan jana asubuhi lilitokana na malalamiko yaliyoanza kutolewa na wananchi na vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi huo kuwa matokeo yanacheleweshwa.
IEBC ilikuwa imeahidi kutangaza matokeo ya urais ndani ya saa 48 baada ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura juzi saa 11 jioni hakukuwa na matokeo hayo. Kwa siku nzima jana, matokeo ya awali yaliendelea kutolewa lakini kwa kasi ndogo ikilinganishwa na juzi, huku mgombea urais kupitia Jubilee, Uhuru Kenyatta akiongoza akiwa na kura 2,735,353 (53.49%) dhidi ya Raila Odinga wa Cord aliyekuwa na 2,145,721 (41.96%) hadi kufikia saa 1 jioni jana. Hassan alisema matokeo hayo yalichelewa kutokana na matatizo yaliyojitokeza ya baadhi ya mashine za utambuzi wa wapigakura kukwama na kusuasua kwa mtandao (network down) juzi usiku. Aliwataka wananchi kuwa watulivu na wavumilivu wakati wakiendelea kupokea matokeo ya awali, kwa kuwa matokeo rasmi yangesubiri wasimamizi kuwasili Nairobi kutoka mikoani, wakiwa na karatasi rasmi za matokeo kwa ajili ya kulinganisha, hatua ambayo alisema isingewezekana ndani ya saa 48.

4 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

true religion jeans, sac louis vuitton, sac michael kors, vans pas cher, lacoste pas cher, timberland, chaussure louboutin, nike roshe, tn pas cher, true religion outlet, louis vuitton pas cher, nike air max, nike blazer pas cher, michael kors canada, nike air max, new balance pas cher, nike free, air max, sac vanessa bruno, hollister, mulberry uk, longchamp pas cher, ray ban pas cher, burberry pas cher, lululemon, nike air force, ray ban uk, ralph lauren, oakley pas cher, hermes pas cher, louis vuitton, air jordan, michael kors uk, nike roshe run, air max pas cher, north face, scarpe hogan, louis vuitton uk, nike free pas cher, longchamp, north face pas cher, hollister, ralph lauren pas cher, converse pas cher, barbour, guess pas cher, abercrombie and fitch

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans