Tuesday, March 5, 2013

Uchaguzi Kenya: Uhuru Kenyatta anaoongoza

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Kenya yanaonyesha Uhuru Kenyatta anaongoza kwa asilimia 54% na Raila Odinga akufuatia kwa asilimia 41% hadi sasa ni nusu ya kura ndizo zilizohesabiwa hivyo maokeo yanaweza kubadilika

No comments: