Tuesday, May 14, 2013

Mwanaume anapojigeuza mwanamke hatareeeeeeee!!!!!!!!

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ndege la AirAsia Tony Fernandes (kulia) akiigiza kumbusu Mfanyabiashara wa Uingereza Richard Branson ambaye alikuwa akiigiza kama mfanyakazi wa ndege baada ya kuvaa mavazi ya wafanyakazi wa kike wa ndege, wakati wa kuitangaza ndege hiyo mara baada ya Branson kuwasili katika uwanja wa ndege wa Sepang ndani ya Kuala Lumpur hapo jana May 12, 2013. ( Picha kwa hisani ya mtandao wa Reuters.)