Friday, August 30, 2013

Kifo cha Askofu Kulola, Askofu Mwaisabila kubeba mzigo wa EAGT

Marehemu Askofu Moses Kulola (kushoto) akiwa na Msaidizi wake Askofu Asumwisye Mwaisabila  enzi za uhai wake. Askofu Mwaisabila sasa ndiye analibeba kanisa la EAGT kwa sasa. 
Askofu Asumwisye Mwaisabila ameachiwa kanisa la EAGT 
 Hakuna ubishi kwamba mzigo wa Kanisa la EAGT kwa sasa upo mikononi mwa Askofu Asumwisye Mwaisabila pichani juu aliyekuwa Msaidizi wa Marehemu Askofu Moses Kulola.

Ni kwa miaka mingi amekuwa msaidizi na huenda akawa na siri nzito anazozifahamu za kanisa hilo.