Thursday, September 5, 2013

Rais Kikwete uso kwa uso na Rais Kagame







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  amekutana kwa faragha na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame katika mazungumzo yaliyokwenda vizuri na kuwaridhisha viongozi hao wawili wa nchi jirani.

Viongozi hao wamekutana kwa zaidi kidogo ya saa moja katika mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, nje kidogo ya mji wa Kampala, Uganda.

Katika mazungumzo hayo, Rais Kikwete na Rais Kagame wamekubaliana kuendelea kushirikiana katika kujenga uhusiano mzuri na wa kihistoria uliopo kati ya nchi hizo mbili.

Viongozi hao wawili wako nchini Uganda kuhudhuria Mkutano wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Kimataifa wa Maziwa Makuu – “International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR)” unaofanyika katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort.
Viongozi wengine ambao wanahudhuria Mkutano huo ni pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye ni Mwenyekiti wa ICGLR na mwenyeji wa Mkutano huo, Rais Silva Kiir wa Sudan Kusini, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).

Rais Kikwete na ujumbe wake amewasili Kampala asubuhi ya leo akitokea mjini Dodoma ambako aliwasili jana jioni kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu watatu na Naibu Makatibu Wakuuu wawili iliyofanyika Ikulu Ndogo, Dodoma.

Rais Kikwete aliwasili Dodoma akitokea Mwanza ambako alihudhuria mazishi ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Askofu Mkuu Dkt. Moses Samwel Kulola yaliyofanyika kwenye Kanisa la Bugando Calvary Temple, mjini Mwanza.


4 comments:

oakleyses said...

burberry outlet, nike outlet, oakley sunglasses, kate spade outlet, michael kors outlet online, tiffany and co, tiffany jewelry, michael kors outlet online, louis vuitton, christian louboutin, michael kors outlet, louis vuitton outlet, nike air max, ray ban sunglasses, louis vuitton, cheap oakley sunglasses, michael kors outlet online, gucci handbags, prada handbags, michael kors outlet, uggs on sale, longchamp outlet, tory burch outlet, ray ban sunglasses, christian louboutin shoes, uggs outlet, oakley sunglasses, christian louboutin uk, ray ban sunglasses, longchamp outlet, chanel handbags, nike free, ugg boots, uggs outlet, prada outlet, louis vuitton outlet, replica watches, oakley sunglasses wholesale, christian louboutin outlet, polo ralph lauren outlet online, jordan shoes, burberry handbags, nike air max, replica watches, ugg boots, oakley sunglasses, polo outlet, longchamp outlet

oakleyses said...

lululemon canada, ray ban pas cher, michael kors pas cher, burberry pas cher, sac vanessa bruno, north face, nike air force, hollister uk, coach outlet, abercrombie and fitch uk, nike air max uk, nike blazer pas cher, nike air max uk, new balance, coach outlet store online, nike roshe, true religion outlet, sac longchamp pas cher, timberland pas cher, true religion jeans, polo ralph lauren, mulberry uk, coach purses, true religion outlet, guess pas cher, nike tn, nike free run, sac hermes, michael kors, ray ban uk, hollister pas cher, north face uk, ralph lauren uk, nike air max, polo lacoste, converse pas cher, oakley pas cher, air max, replica handbags, true religion outlet, michael kors, kate spade, vans pas cher, michael kors outlet, louboutin pas cher, nike roshe run uk, hogan outlet, longchamp pas cher, jordan pas cher, nike free uk

oakleyses said...

moncler, ugg uk, replica watches, moncler, louis vuitton, canada goose outlet, lancel, louis vuitton, karen millen uk, doudoune moncler, pandora charms, links of london, canada goose outlet, juicy couture outlet, moncler, vans, juicy couture outlet, ray ban, coach outlet, thomas sabo, converse, moncler outlet, marc jacobs, hollister, moncler uk, pandora jewelry, canada goose outlet, barbour uk, ugg pas cher, hollister, nike air max, canada goose jackets, swarovski, louis vuitton, ugg, pandora jewelry, converse outlet, swarovski crystal, wedding dresses, canada goose, canada goose, louis vuitton, moncler, ugg,uggs,uggs canada, barbour, canada goose, louis vuitton, toms shoes, moncler outlet, ugg,ugg australia,ugg italia, gucci, pandora uk, supra shoes

Unknown said...

WWW0620

pandora jewelry
supreme uk
canada goose jackets
pandora outlet
chicago blackhawks jerseys
golden state warriors jerseys
ugg boots
canada goose jackets
nike revolution
moncler outlet