Moshi mweusi ukiashiria hakuna papa mpya aliyechaguliwa siku ya kwanza baada ya makardinali kujifungia katika hekalu maalum, huko Vatican City |
Makardinali katika ibada katika kanisa la St. Peter Basillica kabla ya kujifungia kumchagua Papa hapo jana |
Siku ya kwanza ya uchaguzi wa papa mpya imeanza na hakuna dalili ya papa aliyechaguliwa baada ya moshi mweusi kuonekana angani kwenye bomba la moshi.
Zoezi
la kumchagua papa atakayeongoza kanisa Katoliki duniani lilianza hapa jana
Vatican City kwenye jumba maarufu la Sistine Chapel ambalo hutumika kwa
ajili hiyo.
Makardinali wapatao 115 akiwepo Mudhama Policarp Kardinali Pengo wa Tanzania ni miongoni mwa walikusanyika kufanya zoezi hilo.
Yoyote
kati ya makardinali hao anaweza kuwa papa mpya hivyo Kardinal Pengo
naye ana nafasi ya kuwa papa mpya baada ya Papa Benedict xiv ambaye
amestaafu.
Kwa sasa Papa Benedict amepewa jina jipya na ataitwa Papa Emaritus au Papa Emeritus wa Roma.
Kinachosubiriwa
hapo kwa sasa ni moshi mweupe ambao ndio utakaonyesha papa mpya
amepatikana na kama hajapatikana baada ya kupiga kura moshi mweusi
utaonekana.
Makardinali
hao watakaa katika jumba hilo hadi papa apatikane. Hawaruhusiwi
kuwasiliana na mtu yoyote na watakuwa wakipiga kura mara nne kwa siku.
Mudhama Policap Kardinali Pengo (kulia) leo hii akiwa na Makardinali wenzake Vitican City |
Mudhama Policap Kardiali Pengo kushoto akiwa na mmoja wa makardinali hapo jana mjini Vatican |
2 comments:
chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online
pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans
Post a Comment