Sunday, November 28, 2010

Kikwete aapisha Baraza la Mawaziri
Baadhi ya Mawiziri wakisubiri kuapishwa kutoka kushoto ni Waziri Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano Steven WassiraWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anne Tibaijuka akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kula kiapo cha uwaziri.

No comments: