Thursday, November 18, 2010

Angalia video ya hotuba ya Hayati Nyerere akitoa maoni sifa ya rais



Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julias Nyerere akiongea na Waandishi wa Habari katika hoteli ya Kilimanjaro kwa sasa Kilimanjaro Kempiski alikuwa akitoa maoni yake kabla ya uchaguzi wa mwaka 1995 ni nini sifa ya rais bora.Ilikuwa ni Tarehe 14 March 1995.