Sunday, November 14, 2010

TP Mazembe Mfalme Klabu Bingwa AfrikaTimu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekuwa bingwa kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuifunga timu ya Esperance ya Tunisia jumla ya magoli 5-1 katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo.

Katika mchezo wa raundi ya kwanza ya fainali hizo Timu ya TP Mazembe ilishindilia Esperance jumla ya mabao 5-0 kabla ya kutoka nayo sare ya 1-1 katika mechi ya mwisho

No comments: