Saturday, December 11, 2010

Kilimanjaro Stars kufa na kupona fainaliTimu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' inaingia uwanjani jumapili hii kumenyana vikali na timu ya taifa Ivory Coast katika mchezo wa fainali wa kombe la CECAFA senior katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Kilimanjaro Stars iliingia fainali baada ya kuondoa timu ya taifa ya Uganda The Cranes bingwa mtetezi wa kombe hilo kwa mikwaju ya penati 5-4.

Kama Kilimanjaro Stars itashinda mchezo huo italichukua kombe hilo kwa mara tatu baada ya kulichukua mwaka 1974 na 1994.

No comments: