Friday, December 10, 2010

Je Ouko aliuawa katika Ikulu ya Kenya?


kuna taarifa kuwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Robert Ouko aliuawa kwenye moja ya ofisi za aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Daniel Arap Moi Bunge la nchi hiyo limeambiwa.

Juhudi za uchunguzi wa mauaji hayo yaliyofanywa Februari 13, mwaka 1991 ambao ulifanyika mara tatu hazikuzaa matunda na ripoti ya safari hii imewekwa hadharani baada ya kuandikwa miaka mitano iliyopita.

Ripoti hiyo inataka uchunguzi ufanywe kwa viongozi wa ngazi za juu akiwemo aliyekuwa rafiki wa karibu wa Rais Moi, Bwana Nicholaus Biwott.

No comments: