Saturday, December 4, 2010

Kilimanjaro Stars yairarua Burundi , yatinga robo fainaliTimu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars imeingia hatua ya robo fainali baada ya kuisambaratisha timu ya taifa ya Burundi kwa jumla ya magoli 2 kwa 0.

No comments: