Friday, July 1, 2011

Rais Kikwete azungumzia tatizo la ajira vijana Afrika

Malabo,Equetorial

Guinea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ukosefu mkubwa wa ajira na nafasi za kujiendeleza kwa vijana wa Afrika ni bomu linalosubiri kulipuka na linalohitaji majawabu ya haraka kulizuia lisilipuke.
Rais Kikwete pia amesema kuwa ni wajibu na jukumu la viongozi wa Afrika kuwekeza ipasavyo katika vijana ili kuwawezesha kutimiza nafasi yao ya historia kwa sababu vijana mhimili wa leo na kesho wa “familia zetu, jamii zetu na mataifa yetu.”
Rais Kikwete ameyasema hayo jana, Alhamisi, Juni 30, 2011, wakati alipozungumza katika Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) unaotarajiwa kumalizika jioni ya leo, Ijumaa, Julai 01, 2011 katika Ukumbi wa AU wa Palace of Conferences katika kijiji cha kisasa cha Sipopo, nje kidogo ya mji mkuu wa Malabo, ulioko katika Kisiwa cha Bioko cha Equatorial Guinea.
Akichangia katika mjadala wa mada kuu ya Mkutano wa mwaka huu ya “Uharakishaji wa Uwezeshaji wa Vijana kwa Maendeleo Endelevu”, Rais Kikwete amependekeza njia kuu za kusaidia kupunguza tatizo kubwa la ukosefu wa ajira na hata nafasi za kujiajiri kwa vijana wa Afrika.
“Afrika ni bara dogo kwa umri kwa sababu ya wakazi wake wengi ni vijana na ongezeko la watu kwenye Bara hili ni kubwa kuliko eneo jingine la dunia. Lakini vijana wa Afrika wanakabiliwa na changamoto nyingi, kubwa kuliko zote ikiwa ni ukosefu wa ajira. Ni bomu ambalo likiachiwa bila kushughulikiwa ipasavyo, litakuwa chanzo kikubwa cha kuyumba kwa nchi zetu zote,” Rais Kikwete amewaambia viongozi wenzake na kuongeza:
“Mageuzi tuliyoyashuhudia katika nchi za Kiarabu yanaweza kuwa ni mwanzo tu. Vijana katika Afrika ni asilimia 37 ya watu wote walioajiriwa lakini bado vijana ni asilimia 60 ya watu wasiokuwa na kazi katika Bara letu. Sisi, wazazi wao, viongozi wa Serikali zao tuna wajibu maalum kwa vijana wetu. “
“Kwanza kabisa ni lazima tuhakikishe kuwa vijana wetu wanakua na kuwa watu wazima katika afya njema, tuhakikishe kuwa wanapata elimu bora na tufanikishe wapate ajira za heshima na zenye malipo mazuri. Siyo kazi rahisi lakini ni lazima tuifanye.”
Kuhusu nini kifanyike, Rais Kikwete kwa kutumia uzoefu wake wa kuwa mjumbe wa Tume ya Denmark-Afrika Kuhusu Ajira kwa Vijana Katika Afrika amesema kuwa hatua kubwa ambazo viongozi wa Afrika wanapaswa kuzichukua ni pamoja na kubuni sera nzuri za kisiasa, kiuchumi na kijamii ambazo zinaweza kusaidi kufungua uwezo mkubwa wa vijana wa Afrika.


Rais amesema kuwa sera hizo zilenge kuchochea ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi, ongezeko kubwa ya uwekezaji katika chumi za Afrika, ongezeko la uwezo wa ushindani na kuzalishwa kwa nafasi nyingi zaidi za ajira kwa vijana.
“Tunahitaji kubuni sera mwafaka zitakazowawezesha vijana wetu kupata ujuzi ambao utawawezesha kuajiriwa ama kujiajiri wenyewe; sera ambazo zitawawezesha kujipatia uwezo wa kuwa wazalishaji mali wa kuweza kuendesha biashara nzuri; sera ambazo zitachochea maendeleo ya sekta binafsi ili sekta hiyo iweze kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana wetu, wasichana na wavulana,” amesema Rais Kikwete.
Rais Kikwete ambaye leo ameendelea na Mkutano huo wa 17 wa AU anatarajiwa kuondoka mjini Malabo kuelekea nyumbani kesho, Jumamosi,

5 comments:

oakleyses said...

chanel handbags, burberry outlet online, christian louboutin outlet, nike air max, oakley vault, tiffany and co jewelry, michael kors outlet online, michael kors handbags, burberry outlet online, ray ban sunglasses, michael kors outlet store, prada handbags, oakley sunglasses, kate spade outlet, christian louboutin shoes, michael kors outlet, longchamp handbags, christian louboutin, coach outlet store online, true religion outlet, louis vuitton outlet, longchamp outlet online, nike free, true religion, polo ralph lauren outlet, gucci handbags, louis vuitton handbags, coach outlet, louis vuitton outlet, prada outlet, nike air max, jordan shoes, nike outlet, polo ralph lauren, louis vuitton, longchamp outlet, red bottom shoes, tory burch outlet online, kate spade outlet online, michael kors outlet online, coach purses, ray ban outlet, michael kors outlet online, coach outlet, tiffany jewelry, cheap oakley sunglasses, louis vuitton outlet online

oakleyses said...

true religion jeans, sac louis vuitton, sac michael kors, vans pas cher, lacoste pas cher, timberland, chaussure louboutin, nike roshe, tn pas cher, true religion outlet, louis vuitton pas cher, nike air max, nike blazer pas cher, michael kors canada, nike air max, new balance pas cher, nike free, air max, sac vanessa bruno, hollister, mulberry uk, longchamp pas cher, ray ban pas cher, burberry pas cher, lululemon, nike air force, ray ban uk, ralph lauren, oakley pas cher, hermes pas cher, louis vuitton, air jordan, michael kors uk, nike roshe run, air max pas cher, north face, scarpe hogan, louis vuitton uk, nike free pas cher, longchamp, north face pas cher, hollister, ralph lauren pas cher, converse pas cher, barbour, guess pas cher, abercrombie and fitch

oakleyses said...

ferragamo shoes, soccer shoes, nike roshe, nfl jerseys, vans outlet, jimmy choo shoes, beats headphones, reebok shoes, valentino shoes, lululemon outlet, birkin bag, p90x workout, ugg outlet, asics shoes, mac cosmetics, longchamp, hollister, mcm handbags, ugg, babyliss, marc jacobs outlet, north face jackets, insanity workout, celine handbags, soccer jerseys, uggs on sale, canada goose outlet, wedding dresses, uggs outlet, replica watches, uggs outlet, canada goose, nike huarache, north face jackets, ugg boots clearance, mont blanc pens, instyler ionic styler, herve leger, nike trainers, canada goose outlet, canada goose outlet, giuseppe zanotti, new balance outlet, bottega veneta, ghd, ugg boots, chi flat iron, abercrombie and fitch, ugg soldes

oakleyses said...

pandora jewelry, swarovski jewelry, ray ban, timberland shoes, canada goose, pandora uk, hollister, ugg, uggs canada, nike air max, karen millen, toms outlet, moncler outlet, coach outlet, lancel, moncler, hollister clothing, juicy couture outlet, baseball bats, juicy couture outlet, pandora charms, moncler, louboutin, links of london uk, supra shoes, parajumpers outlet, wedding dress, air max, canada goose, replica watches, moncler outlet, converse shoes, canada goose pas cher, moncler, gucci, ralph lauren, moncler, montre femme, swarovski uk, oakley, louis vuitton canada, moncler, converse, thomas sabo uk, canada goose, hollister canada, iphone 6 case, vans

chenlina said...

chenlina20160628
michael kors handbags
coach outlet
christian louboutin shoes
oakley sunglasses
coach factory outlet
toms outlet
oakley canada
true religion outlet
north face outlet
michael kors outlet
kate spade
nike trainers
basketball shoes
gucci outlet
nike factory outlet
adidas shoes
louis vuitton outlet stores
toms outlet
longchamp outlet
coach outlet
air jordan 13
michael kors handbags
coach factory outlet online
toms outlet
coach canada
jordan 4 toro
polo ralph lauren outlet
true religion jeans sale
gucci belts
louis vuitton outlet
louis vuitton
christian louboutin outlet
christian louboutin shoes
michael kors outlet clearance
jordan shoes
timberland outlet
coach factory outlet
jordan 3
true religion outlet
michael kors outlet
as